Browse Results

Help

Select your format based upon: 1) how you want to read your book, and 2) compatibility with your reading tool. To learn more about using Bookshare with your device, visit the Help Center.

Here is an overview of the specialized formats that Bookshare offers its members with links that go to the Help Center for more information.

  • Bookshare Web Reader - A customized reading tool for Bookshare members offering all the features of DAISY with a single click of the "Read Now" link.
  • DAISY (Digital Accessible Information System) - A digital book file format. DAISY books from Bookshare are DAISY 3.0 text files that work with just about every type of access technology that reads text. Books that contain images will have the download option of ‘DAISY Text with Images’.
  • BRF (Braille Refreshable Format) - Digital Braille for use with refreshable Braille devices and Braille embossers.
  • MP3 (MPEG audio layer 3) - Provides audio only with no text. These books are created with a text-to-speech engine and spoken by Kendra, a high quality synthetic voice from Ivona. Any device that supports MP3 playback is compatible.
  • DAISY Audio - Similar to the DAISY option above; however, this option uses MP3 files created with our text-to-speech engine that utilizes Ivonas Kendra voice. This format will work with Daisy Audio compatible players such as Victor Reader Stream and Read2Go.
  • EPUB - A standard e-book format that can be read on many tools, such as iBooks, Readium or others.
  • Word - Accessible Word output, which can be unzipped and opened in any tool that allows .docx files
Showing 1 through 6 of 6 results

Haki ya Ruto

by Yahya Mutuku

Baba yake Bwana Mwamburi, alifungua mlango wa nyumba yao ya msonge. Alikuwa amekasirika sana. “Ruto! Ruto rudi hapa! Nilikwambia leo huendi shuleni. Umesikia,” Baba yake akasema. “Kwa nini baba? Ninataka kusoma. Ninataka niwe daktari. Mwalimu alisema, nikitia bidii masomoni nitakuwa daktari.”

Kuku na Mayai

by Florence Nyakeri

Kuku alitaga yai kando ya mto. Kwa bahati mbaya, yai hilo lilibingirika, likaanguka mtoni na kupotea. Kuku alitaga yai la pili juu ya jiwe. Yai hilo lilipasuka. Kuku alikasirika sana. Je, atataga yai lake la tatu wapi na kutatokea nini?

Mabawa ya Kobe [Kipya]

by Dorothy Bracey Peter Lieta

Hapo zamani Kobe alikuwa na gamba maridadi na la kuvutia. Lilikuwa gamba laini la rangi ya kunde na lililomeremeta. Kobe alikuwa na mwili laini.Lakini gamba lake lilikuwa gumu. Mwili wake siku zote ulikuwa ndani ya gamba hili gumu.

Marafiki Watatu

by Ann Muthoni

"Nguruum! Nguruum! mbuzi wangu mmoja hayupo. Je nani anayejua alipo? Ni nani aliyemwona?” Mfalme Simba akauliza kwa hasira.

Panya na Simba

by Ann Muthoni

"“Tafadhali, nakuomba usinile. Siku moja, huenda ukapatwa na shida, na nitakusaidia”. Panya akamwomba simba."

Pendo Katika Shari

by Clala Momanyi

Pendo ni mwanamke mrembo mwenye maadili mema na anayetimiza wajibu wake. Anaitunza familia yake vyema lakini mumewe sulube, hajali wala habali kumuunga mkono.

Refine Search

Showing 1 through 6 of 6 results