"Mzee Nuru aliwasimulia wanafunzi hadithi cahangamka. Hadithi hiyo ilihusu zimwi lisilojulikana ambalo lilikuwa limeshambulia kijiji caha Pumbao na kuwaua wengi. Zimwi hilo halikuonekana wala kujulikana. Zimwi hilo lilisemekana liliishi msitu mkubwa uliokuwa karibu. Vijana waliamua kulisaka lakini waliambulia patupu. Kitendawili cha zzimwi kulizua taharuki kijijini. Mkutano uliandaliwa huku kukiwa na shuku na shauku..."